VULUGU
kubwa imezuka leo asubuhi mtaa wa Makongoro uliopo katikati ya mji wa
Morogoro kati ya mgambo wa Manispaa na vijana wamitaani[Machokolaa]
wanaofanya kazi ya kuosha magari yanayoegeshwa kwenye mtaa huo wenye
maduka mengi ya watanzania wenye asili ya kiasia[Wahindi].
إرسال تعليق