Hizi ni baadhi ya picha zinazo onyesha jinsi kina dada kutoka Bongo
wanavyo fanya biashara ya kuuza miili yao iliwaweze kujikimu kimaisha,
kwani wengi wamekuwa wakienda uko kwajili ya mambo mbalimbali kama
kusoma ama kufanya kazi lakini kutokana na ugumu wa maisha wanaokutana
nao huko dada zetu huwamua kuingia katika biashara ya ukahaba ili waweze
kujikimu.
إرسال تعليق