
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa
Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Bibi Ertharin Cousin Ofisini kwake
jijini Dar es salaam Februari 13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya
bunge la Ujerumani walipomtembelea, Ofisini kwake jijini Dar es salaam
Februari 13, 2012.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa
Kamati ya Bajeti ya bunge la Ujerumani baada ya kuzungumza nao, Ofisini
kwake Februari 13, 2012.Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
William Lukuvi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
إرسال تعليق