Mshiriki wa kinyang’anyiro hicho, Bahati Charles Kuyela, kutoka Kigamboni akionesha ‘maukali’ yake.

Profesa Jay (kulia) na Nick Mbishi wakifurahia baada ya kunogeshwa na wakali hao.

…Wakali hao wakionesha jinsi ya kuchana mistari jukwaani baada ya washiriki hao kumaliza mpambano.

DJ Juice akipangilia ‘beat’ katika kipute hicho.

Majaji
wa kipute hicho kutoka kushoto ni Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’, John
Dilinga ‘DJ JD’ na Ally Mohammed ‘Baucha’ wakifuatilia kwa makini
mpambano huo.

Kundi la TOT Taarab likifanya mambo baada ya kinyang’anyiro hicho.

Malkia wa mipasho, Khadija Kopa (kulia) akiserebuka na mashabiki wake ukumbini hapo.
WASHIRIKI
wa kinyang’anyiro cha kumsaka ‘The Mic King’ kinachotimua vumbi kila
Jumapili ndani ya Ukumbi wa Dar Live ambacho mshindi anatarajiwa
kujinyakulia gari jipya la kisasa, jana usiku walimtoa jasho mkali wa
rap hapa nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ kwa kuchana mistari ya
nyimbo zake kiufasaha.
(PICHA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY/GPL)

إرسال تعليق