![]() |
| Muimbaji asiyeishiwa vituko Rihanna ameonekana kumtega mlinzi wake kwa kivazi alichotinga kilichomuonyesha sehemu kubwa ya mwili wake |
![]() |
| Rihanna aliweza kugundua hilo na ndipo alipoamua kuanza kuishusha nguo yake 'gauni' lililokuwa linaonekana kupanda huku likiachia sehemu kubwa ya mwili wake |
![]() |
| Rihanna ambaye ameanza kuizungumzia nyimbo yake ya 'Unapologetic', akiwa ameanza kufanya video shoot ameonekana akiwa amevaa gauni fupi jeusi |



إرسال تعليق