Mrisho Ngassa wa Simba, akichupa na mpira huku akikatwa kwanja na Dams
Makwaya wa JKT Ruvu, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom,
uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba 1, JKT RUVU 1
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo na JKT Ruvu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
إرسال تعليق