| Mlinzi
wa Simba Shomari Kapombe akijaribu kuudhibiti mpira mbele ya kiungo
Andres Madrid wa FC Libolo ya Angola katika mchezo wa michuano ya vilabu
bingwa barani Afrika uliofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam ambapo Simba ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa bao 1-0. Bao la
Libolo limefungwa na Joao Martins kwa kichwa kipindi cha pili cha mchezo
huo. |
إرسال تعليق