Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayetesa na staili ya Mauno anapokuwa
jukwaani “Snura Mushi aka ‘Snura’ siku za hivi karibuni akihojiwa na
mwandishi wetu mwanadadahuyo amefunguka na kusema kuwa anafanya kazi
zake kwa kujituma na hajiusishi na ushirikina hata kidogo ili kupata
mafanikio kwani hadhani kama vina faida katika tasnia ya muziki na wala
hajawahi kwenda kwa mganga wa jadi kufanya ushirikina ,Akasema
anajiamini as umbo lake ni asset tosha katika fani yake mpya ya mziki
Kwa mujibu wa Snura mwenyewe, Wasanii wenzake na watu mbalimbali wanaotumia ushirikina katika kazi zao hawana uwezo na wanakosa ubunifu kwani watanzania wengi hawawezi kumpokea mtu kwa sababu ya ushirikina hata kama kazi zake ni mbaya .
إرسال تعليق