Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete na mwenyeji wake Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji wakiwa katika
mkutano wa wakuu wa ncho za Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika SADC jijini
Maputo Msumbiji jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) na Mwenyeji Rais Armando Guebuza wa Msumbiji wakati wa kikao cha SADC jijini Maputo jana.Picha na Freddy Maro-IKULU
إرسال تعليق