Basi liendalo maeneo ya PG Mall likiwa limeegesha mitaa ya Hyattsville
Maryland kwa ajili ya kazi zake za kawaidi kuchukua abiria.
Metro ya kavurugeni muondoke hiyoo kwa wale wanayoijuaa ndio hapo kitu kimetulia tuli kwa mtiririko wa theluji!
Theluji ndogo ilionyesha usiku wa jana katika jimbo la Maryland nchini Marekani
Gari kubwa likitoa huduma za kukwangura theluji pamoja na umwagaji
chumvi ya kuyayushia theluji ilioanguka kwa ajili ya kuepusha ajali za
barabarani.
Picha na:- http://swahilivilla.blogspot.com
إرسال تعليق