Taswira za Washington DC

Georgetown (not downtown, but close to it):

Chinatown Pictures - Washington DC

Fountain, Columbia Heights Plaza, 14th Street and Park Road NW, Washington, DC
Fountain, Columbia Heights Plaza, 14th Street and Park Road NW, Washington, DC

Usafiri wa haraka haraka kwa wenye kusafiri ndani ya Marekani hii ni  Ronald Reagan Washington National Airport Station

Ubalozi wa Tanzania Nchini Nchini Marekani Anuani   22nd St NW  Washington, DC 20037

Mtaa wa Pennsylvania Avenue SE, Washington DC, njee kidogo ya Mjini mwa Washington DC

Christopher Columbus Statue
Christopher Columbus Statue iliopo Union Station  mitaa ya Massachusetts Ave na 1st St. in Washington DC.

Sihemu za kutembelea Washington dc moja wapo ikiwa ni Monument Tower iliopo National Mall Mjini Washington DC

Pamoja na Capitol Hill ambapo wageni wengi wafikapo jijini hapa hupenda sana kutembelea maenop kama haya yenye kumbukumbu ya aina yake, picha Cheif wa swahilivilla Abou Shary akiwa ndani ya Jiji!

Post a Comment

أحدث أقدم