Mwakilishi wa mwaka jana katika mashindano ya Big Brother kutoka hapa
Tanzania maarufu kama Julio siku ya leo baada ya kutambulisha ngoma
ambayo amepewa collabo na producer Lucci.aliweza kusema kwamba TID anafaa
sana katika mashindano ya Big brother kwasababu ni mcheshi pia ni mtu
mwenye sifa zote za kushiriki shindano hilo la Big Brother.info by Julio
ndani ya Double XXL.
إرسال تعليق