TLC WAJA NA FILAMU YAO NA HUYU NDIO MSANII ATAKAYE CHEZA KAMA LEFT EYE.


Lil Mama
Lil Mama Ndio msanii aliye chaguliwa kuigiza kwenye filamu ya Maisha ya Marehemu Lisa Lopes Aka Left Eye aliye kuwa nakundi la TLC. Fahamu kuwa Left Eye alifariki mwaka 2002 kwenye ajali ya gari Mjini La Ceiba, Honduras. Rapper MC Lyte amefugnuka kuhusu mkataba huo aliopewa Rapper Lil Mama nakusema Ni Kweli Lil Mama ataigiza kwenye filamu Hio kama Left Eye na atafanya vizuri kwani Left Eye alikuwa Role Models Wake. Lil Mama aliwekwa kwenye kazi ya Left Eye `Eye Legacy' iliyotoka mwaka 2009.
Pia MC Lyte amefichua siri kuwa yeye na Lil Mama wameshaanza kurekodi album ya pamoja inayoitwa  Hip Hop Sisters album.

Fahamu Kuwa msanii mwingine kutoka TLC `T-Boz' anafanya kazi na Drake wa Young Money katika wimbo wake mpya Unaoitwa Champion. Champion ni wimbo unaohusu wagonjwa wote duniani walioweza kupambana na maradhi yao na kuyashinda.

Post a Comment

أحدث أقدم