![]() |
| Bi Susan Root ahangaishwa na muziki bongoni |
Bi Susan Root amekuwa akiugua ugonjwa wa muziki kucheza kwenye bongo lake kwa miaka mitatu mfululizo.
Kibao ambacho Bi susan anakisikia kikicheza ni
kibao 'How Much is that Doggie in the Window' cha Mwanamuziki Patti
Page kilichokuwa maarufu miaka ya 50.
Wataalam wanasema huu ni ugonjwa ujulikanao kama
Tinnitus- Ugonjwa unaosababisha muziki au sauti uliyosikia utotoni
ikijicheza akilini.

إرسال تعليق