UKUMBI MPYA WA DISKO NDANI YA JENGO JIPYA NA LA KISASA LA WORLD GARDEN ARUSHA


 Jengo la World Garden maeneo ya Mushoni jijini Arusha 
 Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Magesa Mulugo akiwasili eneo la jengo la World  Garden ili  jengo hilo  ambalo lina kumbi za mikutano pamoja na
ukumbi mkubwa wa Disco ambapo inadaiwa kwa uapande wa Afrika mashariki na kati hamna jengo kama hilo 
 Kwa ubavuni
 Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Magesa Mullongo akizindua rasmi ukumbi huo wa disco uliopo Mushono ndani ya jiji la Arusha


Ukumbi wa disko unaosemekana ni mkubwa kuliko yote Afrika Mashariki na kati. Picha na Woinde Shizza,  Arusha

Post a Comment

أحدث أقدم