Ibada ya kanisani imegeuzwa biashara. Hayo yamebainika katika kanisa
moja la Embakasi jijini Nairobi, ambapo mhubiri mmoja amejitafutia
umaarufu kwa njia za ulaghai. Mhubiri amekuwa akishirikiana na makahaba
kuwalaghai waumini. Huyu hapa mpekuzi Mohammed Ali kutoka NTV ya Kenya, na taarifa ya
utapeli kwa jina la Mungu.
Sehem ya kwanza
Sehemu ya pili
Sehemu ya tatu
Sehemu ya nne

Post a Comment