Rais Jakaya Kikwete(katikati) akifurahia burudani ya muziki kutoka kwa
Tanzania house of talent(THT) katika hafla ya uzinduzi wa vitambulisho
vya taifa katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es salaam hii leo

Baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa(NIDA) wakifurahia tukio hilo

Mfano wa kitambulisho cha taifa cha rais Jakaya Kikwete punde baada ya kuzindua rasmi zoezi hilo



Vijana wa THT wakitumbuiza

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dkt Emanuel Nchimbi(kushoto)
akimkabidhi rasmi Rais jakaya Kikwete kitambulisho chake cha taifa
katika siku ya uzinduzi iliyofanyika Karemjee jijini Dar es Salaam leo
asubuhi

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dkt Emanuel Nchimbi akimkabidhi kitambulisho cha taifa mke wa rais mama Salma Kikwete

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi rais msataafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa kitambulisho cha Taifa

Rais jakaya Kikwete akimkabidhi kitambulisho cha taifa mwanasiasa mkongwe nchini Mzee Kingunge Mwiru

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi kitambulisho cha taifa Mkuu wa jeshi la polisi nchini(IGP) Said Mwema

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi kitambulisho cha taifa Askofu mkuu wa
kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania(KKKT) Askofu Alex Malasusa

Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria tukio hilo

Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama

Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa mamlaka ya
vitambulisho vya taifa(NIDA).Picha zote na eddymoblaze blog team)

Post a Comment