UZINDUZI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA KATIKA PICHA

 Rais Jakaya Kikwete(katikati) akifurahia burudani ya muziki kutoka kwa Tanzania house of talent(THT) katika hafla ya uzinduzi wa vitambulisho vya taifa katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es salaam hii leo
 Baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa(NIDA) wakifurahia tukio hilo
 Mfano wa kitambulisho cha taifa cha rais Jakaya Kikwete punde baada ya kuzindua rasmi zoezi hilo


 Vijana wa THT wakitumbuiza
 Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dkt Emanuel Nchimbi(kushoto) akimkabidhi rasmi Rais jakaya Kikwete kitambulisho chake cha taifa katika siku ya uzinduzi iliyofanyika Karemjee jijini Dar es Salaam leo asubuhi
 Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dkt Emanuel Nchimbi akimkabidhi kitambulisho cha taifa mke wa rais mama Salma Kikwete
 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi rais msataafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa kitambulisho cha Taifa
 Rais jakaya Kikwete akimkabidhi kitambulisho cha taifa mwanasiasa mkongwe nchini Mzee Kingunge Mwiru
 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi kitambulisho cha taifa Mkuu wa jeshi la polisi nchini(IGP) Said Mwema
 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi kitambulisho cha taifa Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania(KKKT) Askofu Alex Malasusa
 Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria tukio hilo
 Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa(NIDA).Picha zote na eddymoblaze blog team)

Post a Comment

أحدث أقدم