Ukiniuliza ni stori gani
kubwa niliyoisoma kutoka kwenye website za Nigeria toka 2013 ianze,
nitakwambia ni stori kuhusu D’Banj kutajwa kwamba nae ameingizwa kwenye
dini inayomuabudu shetani, pamoja na hayo yanayosemwa.. sijawahi
kumsikia D’Banj mwenyewe akizungumzia… zaidi ni anatoa tu kazi mpya kama
hiyo video hapa chini ya Cash flow.

إرسال تعليق