Mmoja wa wafanyakazi wa
Vodacom Tanzania Bi.Ummy Hussen akimwelezea ubora wa simu aina ya Gt-E
1500 Sumsung yenye line mbili iliyokuwa ikiuzwa kwa shilingi elfu 70
Utingo wa daladala linalofanya safari zake za kariakoo na Gongolamboto
Bw.Khamis Juma,wakati Vodacom Tanzania walipokuwa wakifanya promosheni
ya kuwajuza wananchi pamoja na wateja wake kuwa imeboresha mtandao kwa
ajili ya kuwafikia wananchi mahali popote nchini.
Mwangalizi wa promosheni ya
Vodacom Tanzania ya kuwajuza wananchi na wateja wake kuhusu kuboreshwa
kwa mtandao huo kwa ajili ya kuwafikia wananchi mahali popote Bw.Said
Akungoni akimwelezea mfanyabiasha wa kuku katika kituo cha daladala eneo
la Banana Ugonga jijini Dar es Slaam, Bw.Mussa Nangwali ubora wa simu
aina ya GT-E 2232 Sumsung yenye line mbili inayouzwa kwa shilingi elfu
80. Anaeshuhudia kulia ni Aaron David.
Mfanyabaishara wa kuku katika
kituo cha daladala eneo la Banana Ugonga jijini Dar es Slaam, Mussa
Nangwali akiangalia simu aina ya GT-E 2232 Sumsung yenye line mbili
inayouzwa kwa shilingi elfu 80 wakati Vodacom Tanzania walipokuwa
wakifanya promosheni ya kuwajuza wananchi pamoja na wateja wake kuwa
imeboresha mtandao kwa ajili ya kuwafikia wananchi mahali popote
Tanzania,Kulia ni Mwangalizi wa promosheni hiyo Said Akungoni.
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania
Bi.Wema Bashir akimuonesha line za simu zinazotolewa na kusajiliwa bure
mfanyabiashara wa ndogondogo maarufu kama machinga eneo la Banana
jijini Dar es Salaam Bw.Meshack Richard,wakati Vodacom Tanzania
walipokuwa wakifanya promosheni ya kuwajuza wananchi pamoja na wateja
wake kuwa imeboresha mtandao kwa ajili ya kuwafikia wananchi mahali
popote nchini.
Post a Comment