Vodacom yafanya promosheni ya kuwajuza Wananchi kuboresha mtandao nchi nzima

Picture
Mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Bi.Ummy Hussen akimwelezea ubora wa simu aina ya Gt-E 1500 Sumsung yenye line mbili iliyokuwa ikiuzwa kwa shilingi elfu 70 Utingo wa daladala linalofanya safari zake za kariakoo na Gongolamboto Bw.Khamis Juma,wakati Vodacom Tanzania walipokuwa wakifanya promosheni ya kuwajuza wananchi pamoja na wateja wake kuwa imeboresha mtandao kwa ajili ya kuwafikia wananchi mahali popote nchini.
Picture
Mwangalizi wa promosheni ya Vodacom Tanzania ya kuwajuza wananchi na wateja wake kuhusu kuboreshwa kwa mtandao huo kwa ajili ya kuwafikia wananchi mahali popote Bw.Said Akungoni akimwelezea mfanyabiasha wa kuku katika kituo cha daladala eneo la Banana Ugonga jijini Dar es Slaam, Bw.Mussa Nangwali ubora wa simu aina ya GT-E 2232 Sumsung yenye line mbili inayouzwa kwa shilingi elfu 80. Anaeshuhudia kulia ni Aaron David.
Picture
Mfanyabaishara wa kuku katika kituo cha daladala eneo la Banana Ugonga jijini Dar es Slaam, Mussa Nangwali akiangalia simu aina ya GT-E 2232 Sumsung yenye line mbili inayouzwa kwa shilingi elfu 80 wakati Vodacom Tanzania walipokuwa wakifanya promosheni ya kuwajuza wananchi pamoja na wateja wake kuwa imeboresha mtandao kwa ajili ya kuwafikia wananchi mahali popote Tanzania,Kulia ni Mwangalizi wa promosheni hiyo Said Akungoni.
Picture
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Bi.Wema Bashir akimuonesha line za simu zinazotolewa na kusajiliwa bure mfanyabiashara wa ndogondogo maarufu kama machinga eneo la Banana jijini Dar es Salaam Bw.Meshack Richard,wakati Vodacom Tanzania walipokuwa wakifanya promosheni ya kuwajuza wananchi pamoja na wateja wake kuwa imeboresha mtandao kwa ajili ya kuwafikia wananchi mahali popote nchini.

Post a Comment

أحدث أقدم