الصفحة الرئيسيةENTERTAINMENT MSANII BUIBUI APATA AJALI MBAYA, TAZAMA PICHA Hisia فبراير 03, 2013 0 Buibui amepata ajali ya pikipiki na kuvunjika miguu kwa sasa amelazwa katika wodi ya kibasila pale hospitali ya taifa muhimbili......''TUMUOMBEE APONE HARAKA''na pia tutoe sapoti ya msanii mwezetu ili aweze kupata unafuu mapema
إرسال تعليق