Nchini
Kenya,wakati huu wagombea wakiwa katika kampeni za kunadi sera zao
kuelekea uchaguzi mkuu, tayari wagombea wa juu wa kiti cha
urais,sambamba na wagombea wenza wamekwisha orodheshwa rasmi katika
orodha ya wagombea.
Jumla
ya wagombea wanane watawania kiti cha urais katika uchaguzi huo. Wakati
huohuo wagombea wawili wakuu wa Urais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga
wameidhinishwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
إرسال تعليق