Wachezaji waliotwa na kocha Kim Poulsein wanao kipiga simba sc na TP
Mazembe wanataraji kuungana na wenzao katika kambi ya Taifa stars hii
leo.
Wachezaji wa Taifa stars walianza kuwasili kambini jana kwa
wachezaji toka Azam fc, mtibwa sugar na yanga na kusalia wachezaji wa
simba na TP Mazembe ambao wataingia leo.
Wachezaji wa simba walio
itwa katika kikosi cha taifa stars ni Juma Kaseja, Shomari Kapombe,
Mwinyi Kazimoto, Saidi Cholo, Mrisho Ngassa na Amir Kiemba.
Wachezaji
wa TP Mazembe walioitwa katika kikosi hicho kitakacho wakabili Cameroun
february 6 ni Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu.
Wakati huo huo wachezaji wa Cameroun wanatarajiwa kuanza kuwasili leo kwa makundi.
Post a Comment