WASHABIKI ARUSHA WAMLILIA OKWI, WASEMA SIMBA NI YA RAGE NA FAMILIA YAKE

 


Picha/habari na Nicoulaus Trac, Arusha
Mashabiki wa Simba walivamia basi la wachezaji wa timu hiyo na kuanza kuimba kuwa wanamtaka Emanuel Okwi.
Aidha, mashabiki hao walipokuwa wakihojiwa na moja ya redio ya jijini Arusha, walisema Simba ni mali ya Rage na familia yake na sio ya wana Simba.

Mashabiki wa Simba wamekerwa na sare ya 1-1 dhidi ya Ojoro katika mchezo ulichezwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid ikiwa ni sare yao ya pili tangu mzunguko wa pili wa Ligi kuu uanze.

Post a Comment

Previous Post Next Post