
Miss Tanzania wa zamani na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ameonesha
picha za kwanza za ofisi ya kampuni yake aliyoifungua, Endless Fame
Films. Kampuni hiyo inatarajia kuzinduliwa hivi karibuni.
Tazama picha hizi zinazoonesha kona mbalimbali za ofisi hiyo ya nguvu. Hongera sana Wema.

Washing room

Wema ameandika: Managing director pale kati…. my lounge.

Ofisi ya EFF

Meza ya editor


Kuelekea EFF


إرسال تعليق