ZITTO KABWE AWEKA HADHARANI SIRI YA MAKINDA KUIFUTA KAMATI YAKE


Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Naibu katibu mkuuwa Chadema Mh Zitto kabwe leo akiwahutubia maelfu ya wanachama wa chadema waliojitokeza Viwanja vya Temeke mwisho ameamua kuweka hadharani ukweli kuhusu kamati yake kuvunjwa.
Mh:Zitto amesema,

"Kitendo cha spika wa bunge kuifuta kamati ya hesabu za serikali(POAC) ni lengo lake la kuhakikisha dhana ya uwajibikaji inakwama ndani ya bunge.
Wameamua kuifuta kwa sababu imekuwa ikifichua maovu na ufisadi mwingi serikalini,Hivi kikao kilichopita  kamati ilionesha namna serikali ilivyotumia zaidi ya tirioni moja kutoka mifuko ya PSPF na NSS kwenye miradi yao kinyume na utaratibu.Kamati ikaagiza serikali iache mara moja kugeuza mifuko ya huduma za jamii ni saccos ya kujipatia fedha."
chanzo:mwandishi wetu wa habarI SANGA

Post a Comment

Previous Post Next Post