
Mbunge wa
Kigoma Kaskazini,Naibu katibu mkuuwa Chadema Mh Zitto kabwe leo
akiwahutubia maelfu ya wanachama wa chadema waliojitokeza Viwanja vya
Temeke mwisho ameamua kuweka hadharani ukweli kuhusu kamati yake
kuvunjwa.
"Kitendo
cha spika wa bunge kuifuta kamati ya hesabu za serikali(POAC) ni lengo
lake la kuhakikisha dhana ya uwajibikaji inakwama ndani ya bunge.
Wameamua
kuifuta kwa sababu imekuwa ikifichua maovu na ufisadi mwingi
serikalini,Hivi kikao kilichopita kamati ilionesha namna serikali
ilivyotumia zaidi ya tirioni moja kutoka mifuko ya PSPF na NSS kwenye
miradi yao kinyume na utaratibu.Kamati ikaagiza serikali iache mara moja
kugeuza mifuko ya huduma za jamii ni saccos ya kujipatia fedha."
chanzo:mwandishi wetu wa habarI SANGA
إرسال تعليق