![]() |
Picha si ya Tukio Hilo. |
Askari mmoja alievalia nguo za kiraia amewekwa ndani kituo cha polisi
airport kwa kutuhumiwa kumshilka makalio mfanyakazi wa ndege wa fast
jet.
Tukio hilo limetokea leo saa nne wakati askari huyo aliekuwa akienda mkoani akiwa bwii alipofika kwenye sehemu ya usalama aanze kuvua viatu na mengineyo gafla akaona binti amevaa kimini na huku nyuma kijungu kikipumua kwa kweli alishindwa kuhimili ndipo akamfwata na kumshika makalio alipoulizwa kwa nini amefanya vile alisema alikuwa anayatest kama ni yake kweli ama lah maana wengine wamezoe kutuwekea naniino huko nyuma ndipo wakuu wake wakaamua kumsaidia kwa kwenda kumtuliza ndan huku binti akienda kufungua kesi.
Kazi kweli kweli jaman sitaki kusema nani mbaya ila na mabinti tujilinde jamani mmhh vimini vyao hata kama aisimami unasikia inapga kwitukwitu kwitu
Source:Jamii Forums

إرسال تعليق