BIASHARA YA NGONO YASHIKA KASI MWANZA....


Nimetokea Musoma mkoani Mara ambako nilikuwa kutafiti chanzo cha vifo vya wajawazito na watoto...na kutua mkoani Mwanza jioni ya leo na usiku huu nipo Club ijulikanayo kwa jina la Villa Park.

Hapa ngono ni biashara kama zingine na bei zake ni Tsh.10,000 kwa wanawake/mabinti ambao wapo nje ya geti la club hiyo na Tsh.15,000 ni wale walioigia ndani ya geti na wale ambao wapo ukumbi wa Disco.

Swali linalobaki kwetu sote ni kwamba je vita dhidi ya maambukizi ya VVU itafanikiwa?

Post a Comment

أحدث أقدم