Mkali kutoka kundi la Wakacha maarufu kama Cyrill a.k.a Kamikaze, tokea
Singida ambae kwa sasa anatikisa industry ya muziki, kupitia na track
yake iitwayo Nafanya ambayo amempa shavu Jux, one of the crew members in
Wakacha.
Not only that... Cyrill anafanya vyema pia kupitia joint nyingine iitwayo Utamu Wa Chocolate aliyomshirikisha shombe shombe, Bob Junior
Nyota huyu, ameamua kumtangaza Manager wake mpya atakayesimamia kazi zake kuanzia sasa...
Mcheck hapa chini:

إرسال تعليق