
Licha
ya Msanii huyu Diamond kumjengea Nyumba yakuishi Mama yake mzazi yenye
thamani za kitanzania ya zaidi yashilingi milioni 200,sasa msanii huyo
anayefanya poa na kazi yake ya Kesho kwenye Industry ya muziki amesema
kuwa mpango wake wa kujenga msikiti bado upo hayo ameyasema kupitia Top 20 za Redio Clouds leo.
إرسال تعليق