Rapper Fid Q (@FidQ on twitter) kutoka MWANZA CITY ambae mimi mara ya mwisho nimemsikia kwenye ngoma yaStamina inayoitwa ''Wazo La Leo'' jana alikuwa studio akirekodi.
In a most suprising way, Fareed alikuwa akirekodi na Komando Jide a.k.a Lady Jaydee (@JideJaydee on twitter) kwa pamoja. Something in the kitchen that i cant wait to listen!!!
Habari zaidi zinasema rapper huyo alikuwepo Studio za DAY ONE PRODUCTIONS huko Masaki, pamoja na Jide,Lufunyo, Dunga na Chedi from MASHARIKANS.
At DAY ONE, the whole list ilikuwa inarekodi ngoma inayofahamika PASSIONATELY TANZANIANS ambayo according to @FidQ inahamasishha zaidi uzalendo katika nyanja za burudani.
It wasn't only Jaydee on this one, list ya hao producers na wasanii wengine its enough kuisubiria hii ikiwa chini yaProducer Dereck.
إرسال تعليق