Kama wewe ni shabiki wa Jokate ningependa kukufahamisha kwamba siku ya jana Jumamosi mwanadada huyo alikuwa
akitangaza kipindi cha The Countdown cha nyimbo 20 kupitia Choice Fm ya
Dar es Salaam.
Kipindi hicho huruka kuanzia saa tisa mchana mpaka saa kumi na moja jioni.Choice Fm husikika Dar es Salaam pekee kupitia 102.5 FM na kwa njia ya internet.
Hizi ni baadhi za picha ambazo zinaonyesha jinsi alivyokuwa studio...!!!!! Choice Fm

Post a Comment