JOKATE AKITANGAZA COUNTDOWN NDANI YA CHOICE FM

 Kama wewe ni shabiki wa Jokate ningependa kukufahamisha  kwamba siku ya jana Jumamosi mwanadada huyo alikuwa akitangaza kipindi cha The Countdown cha nyimbo 20 kupitia Choice Fm ya Dar es Salaam.
Kipindi hicho huruka kuanzia saa tisa mchana mpaka saa kumi na moja jioni.Choice Fm husikika Dar es Salaam pekee kupitia 102.5 FM na kwa njia ya internet.
Hizi ni baadhi za picha ambazo zinaonyesha jinsi alivyokuwa studio...!!!!!  Choice Fm




                                              

Post a Comment

أحدث أقدم