Kajala Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka Nane Ama Faini ya Million 13



Kwa habari tulizozipta muda si mrefu ni kuwa msanii wa Bongo Movies Kajala Aliye kuwa anakabiliwa na kesi Amehukumiwa kifungo cha miaka nane ama kulipa Faini ya shilingi milion 13 ...Tutazidi kuwapa yaliojiri huko mahakamani..
Katika hukumu hiyo Kajala amehukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya shilingi milioni 13 na mumewe kwenda jela miaka saba au kulipa faini ya shilingi milioni 200.

Kajala alikuwa anakabiliwa na kesi ya kuuza nyumba iliyowekwa kizuizini na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) baada ya mumewe, Faraji Agustino kukumbwa na msala wa kutakatisha fedha haramu.

Post a Comment

أحدث أقدم