
Msanii
wa bongo movie Kajala (kushoto) akilia kwa furaha mara baada ya
mahakama ya hakimu mkazi kisutu kutoa hukumu ya kesi yake kwa kwenda
jela miaka 5 au kulipa faini ya Shilingi za Kitanzania Milioni 13 ambazo
zililipwa na Msanii mwenzake Katika tasnia hiyo Wema Abraham Sepetu ili
kumnusuru Kajala kwenda jela Miaka Mitano. Pembeni yake aliyemshika
ndie Msanii Wema Abraham Sepetu aliyemlipia Faini ya Shilingi Milioni 13
za Kitanzania
إرسال تعليق