Mshambuliaji
wa Simba, Haruna Chanongo, akimtoka beki wa Coast Union, Abdi Banda,
wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, unaoendelea hivi
sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba inaongoza ikiwa
mbele kwa mabao 2-0, bao la kwanza limefungwa na Mrisho Ngassa, na bao
la pili limefungwa na Haruna Chanongo, na hivi sasa ni kipindi cha pili.

Wachezaki wa Simba wakishangilia bao la pili lililofungwa na Haruna Chanongo.

Post a Comment