LIVE:-SIMBA INAONGOZA MABAO 2-0 DHIDI YA COAST


 Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo, akimtoka beki wa Coast Union, Abdi Banda, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba inaongoza ikiwa mbele kwa mabao 2-0, bao la kwanza limefungwa na Mrisho Ngassa, na bao la pili limefungwa na Haruna Chanongo, na hivi sasa ni kipindi cha pili.
Wachezaki wa Simba wakishangilia bao la pili lililofungwa na Haruna Chanongo.

Post a Comment

أحدث أقدم