MAMA YEYOO YA G’ NAKO KWENYE FINAL TOUCH


wwwww
Hatimae zile harakati za kufanikisha kichupa cha hit song ya Mama Yeyoo kutoka kwa msanii wa kizazi kipya G Nako akishirikiana na Ben Pol zinaelekea kukamilika.
Mkali wa vichupa anaekuja kwa kasi kwenye industry ya Video making Tanzania Nisherbybe ameelezea passion yake kufanya kazi na wakali hao kwenye mamaland ya Home-town, A’town ATL.
kkkkkkkkkk
Gusa continue kuendelea..

Social networks zilikua attacked kwa twits kibao from the team Ben Pol, G’Nako here is what Ben Pol and G warawara posted on twitter
ben twitter
G NAKO TWITTER
Share Button

Post a Comment

Previous Post Next Post