Redman Treach wa kundi la Naughty By Nature na Do it all wa kundi la
Lords of the Underground wanaotokea mji wa New Jersey wameshiriki
katika tamasha la harambee la kuchangishaji fedha kwa ajili ya kusaidia
elimu kwa mtoto.
Taasisi ya Newark yenye makao yake katika jiji la New Jersey nchini
Marekani imeanzisha mpango unaojulikana kama “Reading is for Life” ambao
unasisitiza umuhimu wa kusoma pamoja na kusaidia kuelimisha kuhusu
viwango vya elimu ambavyo watoto wanapswa kufikia shuleni.
Aidha tamasha hilo pia litatoa heshima kwa Dr. Larry Levert Mkurugenzi wa taasisi moja maarufu DJ Marley Marl pamoja na watu wengine kadhaa.
Aidha tamasha hilo pia litatoa heshima kwa Dr. Larry Levert Mkurugenzi wa taasisi moja maarufu DJ Marley Marl pamoja na watu wengine kadhaa.
Post a Comment