MARAPA US WACHANGIA ELIMU


Naughty
Redman Treach wa kundi la Naughty By Nature na Do it all wa kundi la Lords of the Underground wanaotokea mji wa New Jersey wameshiriki katika tamasha la harambee la kuchangishaji fedha kwa ajili ya kusaidia elimu kwa mtoto.
Taasisi ya Newark yenye makao yake katika jiji la New Jersey nchini Marekani imeanzisha mpango unaojulikana kama “Reading is for Life” ambao unasisitiza umuhimu wa kusoma pamoja na kusaidia kuelimisha kuhusu viwango vya elimu ambavyo watoto wanapswa kufikia shuleni.

Aidha tamasha hilo pia litatoa heshima kwa Dr. Larry Levert Mkurugenzi wa taasisi moja maarufu DJ Marley Marl pamoja na watu wengine kadhaa.

Post a Comment

أحدث أقدم