Kama kawaida yetu hatuna budi
kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya njeema, vile
vile tumshukuru tena sana kwa siku hii muhimu sana kwako Mwanamitindo
wetu mbunifu Kwetu Fashion Designer Missy Temeke, kwa siku ya kuzalia
kwako, wadau wote wa swahilivilla wanakutakia siku njeema, maisha marefu
ya kujitanafasi, wewe pamoja na familia yako inshaallah. ''Aameen.
Mwanamitindo Mbunifu wa Kwetu Fashion Designer Missy Temeke akiwana na
mwanawe vLittle Princess Tuma wakati akikaribia kukata Birthday Cake
yake Siku ya Jumamosi March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland Nchini Marekani

Mwanamitindo Mbunifu wa Kwetu Fashion Designer Missy Temeke birthday cake yake


Dogo Salamu akiwa na baba yake pamoja
na mdogo wake Tuma mwenye Pinky wakianda kuchomeka Mishumaa kwenye Cake
ya Mama Mpendwa ambae ni Missy Temeke kwaajili ya kukata na Ku-Make
Wish ya Siku ya Kuzaliwa kwake .
Baada ya kukatwa keki mdhamini wa pendo la Mwanamitindo Mbunifu wa Kwetu
Fashion Designer Missy Temeke akimegua kaki kwaajili ya kuliwa.

Mdhamini wa pendo la Mwanamitindo Mbunifu wa Kwetu Fashion Designer Missy Temeke wakipata flash ya pamoja


Nguo ya mshono iliou- desig mwenyewe Missy Temeke (Picha ya pili) na mgeni mualikwa wakipata picha ya pamoja Siku ya Jumamosi March 16, 2013.

Wageni waalikwa wakiwa kwenye Birthday Dinner ya Siku ya Jumamosi March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland Nchini Marekani

Wageni waalikwa wakiwa kwenye Birthday Dinner ya Siku ya Jumamosi March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel.
Autiee Waheeda akiwa na wageni waalikwa kwenye Birthday Dinner ya Miss Temeke iliofanyika Siku ya Jumamosi March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland.










Ladha: Vyakula vilivyoliwa kwenye Birthday Dinner ya Miss Temeke iliofanyika Siku ya Jumamosi March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland.
Maryam na mdhamini wa pendo lake kwenye Birthday Dinner ya Siku ya Jumamosi March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland.
Tuma huyoo na mdhamini wa pendo lake
kwenye Birthday Dinner ya Miss Temeke iliofanyika Siku ya Jumamosi March
16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland
Dada Sabrina nae hakua nyuma na
mdhamini wa pendo lake kwenye Birthday Dinner ya Miss Temeke iliofanyika
Siku ya Jumamosi March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland.

\









إرسال تعليق