Ok so
nimeipata hii mitaa ya kati inasemekana mrembo huyu aliyekuwa amepata
mwaliko toka kwa jamaa mmoja ambaye walijuana katika birthday pary
ya best yake amekutwa na sheshe la aina yake hapo juzi kati.....
Inadaiwa shosti huyu anasifika sana kwa KUWACHUNA wanaume wanaoigia
katika anga zake na kuingia mitini, juzi alipatikana alipokutana na
wajanja wa mujini zaidi yake. Bi dada huyu inasemekana kwa bahati
mbaya msimu huu haukuwa wake baada ya kuwekewa madawa ya
kulevya katika kinywaji chake na kujikuta amelewa sana hivyo
kupelekea kuliwa uroda kwa mafungu bila kujitambua.
Bi shost
huyu inadaiwa hakusoma mchezo ulivyokua unaendelea kwani alishakua
bwax (kalewa) Baada ya muda, shostito akajikuta anakua hoi bin
taabani na ndipo wavulana hao walipombeba msobemsobe na kumpeleka
chimbo na kujilambia sukari kiulaiiiniiiiii na kisha kumtelekeza kama
alivyokutwa hapo
OK USHAURI WA BURE;
Dada kwanza
pole mwaya; ila kama unapenda kuchuna watu na kuwakimbia unatakiwa ujue
rules za kuchuna, HUTAKIWI KULEWA UKIWA KATIKA MCHUNO JAMANI...Hutakiwi
kunywa na kujisahau mpk mtu anakuwekea kitu kwa kinywaji chako bila wewe
kujua hapo lazima uuze bendi...haya pole thank God u r still alive
oo...u no go chop pipo monie egen oo
إرسال تعليق