MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI EVALIST MUSHI AKAMATWA ZANZIBAR
Hisia0
Jeshi la polisi linamshikilia Omari Musa Mkame Mkazi wa Mwanakwerekwe
Zanziba anaye sadikiwa kuwa ni muuaji wa padre Evalist Mushi. Amekamatwa
alasiri hii maeneo ya Kariakoo, Zanzibar.
Ni kwa msaada wa mchoro wa mfano wa muhusika ulioachorwa na FBI.
إرسال تعليق