MWANAFUNZI WA CHUO ALIYESAMBAZA PICHA ZAKE ZA UTUPU MTANDAONI ATENGWA NA FAMILIA

 
Denti Fatuma Omari akiwa katika pozi.
 YULE denti wa chuo kimoja jijini Mwanza ambaye wiki iliyopita magazeti yaliandika habari ya picha zake za utupu kuzagaa kwenye mtandao wa BBM, Fatuma Omari amejikuta kwenye wakati mgumu kufuatia madai kuwa familia yake imemtenga.
Chanzo chetu kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, mara baada ya kutoka kwa habari hiyo, baadhi ya ndugu zake walikasirika na  kutaka kujua undani wake.

Post a Comment

Previous Post Next Post