Denti Fatuma Omari akiwa katika pozi.
YULE denti wa chuo kimoja jijini Mwanza ambaye wiki iliyopita magazeti yaliandika
habari ya picha zake za utupu kuzagaa kwenye mtandao wa BBM, Fatuma
Omari amejikuta kwenye wakati mgumu kufuatia madai kuwa familia yake
imemtenga.
Chanzo chetu kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, mara baada
ya kutoka kwa habari hiyo, baadhi ya ndugu zake walikasirika na kutaka
kujua undani wake.
إرسال تعليق