NEWZZ! UONGOZI WA JUU WA SIMBA WAONDOLEWA MADARAKANI

Mkutano wa dharura wa wanachama na wadau wa klabu ya Simba ya jijini Dar Es Salaam leo wamekutana na Kuamua kuuengua uongozi wa juu wa clabu hiyo
Taarifa kamili itawajia muda si mrefu

Post a Comment

Previous Post Next Post