Mwigizaji wa kike wa Bongo Movie almaarufu kwa jina la Sandra ambaye kwa siku za hivi karibuni tuliwahi kurusha habari za kupigwa kwake talaka na mumuwe amekanusha habari hizo kupitia kipindi cha HOt MIX cha luninga cha Channel 5
Sandra kupitia kipindi hicho alisema yeye hakupewa talaka kama inavyosemekana kwenye jamii na wala hajaachana na mumewe na ukweli ni kuwa ndoa yao haina matatizo na wanapendana hayo ni maneno ya uzushi ya watu wasiopenda kuona wao wakipendana
إرسال تعليق