Baada ya Sintah kuwa anashambuliwa na watu kucomment kumponda katika
Website yake kila anapo post kitu...Leo Ameamua kuandika maneno haya
akiwauliza wanao ponda kila akiweka picha ama stori kwenye Blog yake:
" Daaah binadamu,hawajielewi nikisema nisiweke picha za watu fulani mnasema nina roho mbaya nikiweka najigongaa sasa nifanyeje?
hebu nimbieni daaah binaadamu ni viumbe wazito hawabebeki!
Hebu nimbieni nyinyi mnataka nini? maana siwasomi " Sintah.

إرسال تعليق